Stephane Aziz Ki amefunga #hattrick ... Yanga ikiitandika KMC mabao 6-1 kwenye dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam, ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya NBC.
Hat-trick ya Aziz Ki imepatikana kwa penati mbili dakika za 18 na 56, huku lingine lingia nyavuni dakika ya 49.
Aliyefungua mlango wa magoli ni Prince Dube dakika ya 10... huku Maxi Nzengeli na Israel Mwenda nao wakifunga dakika za majeruhi...
Bao la kufutia machozi limetoka kwa Redemtus Mussa dakika ya 51.
Haya hapa magoli yote...
Magoli Yote | KMC 1-6 Yanga SC | NBC Premier League 14/02/2025 For Country: United States. City: Huntsville, Long Beach, McAllen, St. Petersburg, Waco
Tag: #Browse Around This Site, #you can try these out, #just click the next website page, #view publisher site, #please click