Tazama magoli yote sita waliyofunga Simba SC kwenye mchezo wa hatua ya 64 bora ya CRDB Bank Federation Cup
Simba imeshinda kwa jumla ya magoli 6-0, wafungaji ni Valentino Mashaka, Ladack Chasambi, Joshua Mutale, Stephen Mukwala, Edwin Balua na goli la kujifunga la Patrick Sebastian
Simba SC 6-0 Kilimanjaro Wonders | Magoli | CRDB Bank FA Cup - 26/01/2025 For Country: United States. City: Houston, Inglewood, Macon, Moreno Valley, New York